Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mkaranga, akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nanjaru, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mkaranga, akia kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
About The Author
Last modified: November 14, 2023