Visit Sponsor

Written by 10:34 am MICHEZO Views: 64

WAZIRI MKUU AONGOZA MBIO ZA HISANI ZA KUKOMESHA UKATILI WA KIJINSIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongoza Mbio za Kukomesha  Ukatili wa Kijinsia   (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mbio za kilobita 20 wananwake, Magdalena Chrispian ambaje aliibuka mshindi wa kwanza upande  Mbio za Hisani za Kukomesha  Ukatili wa Kijinsia   (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, November 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. Kushoto ni Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar, Riziki Pembe.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi Mkuui wa  Taasisi ya Asma Foundation, Asma Mwinyi baada ya kuongoza Mbio za Kukomesha  Ukatili wa Kijinsia   (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, November 26, 2023. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mjini Magaribi, Idrissa Kitwana Mustafa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Mbio za Hisani za Kukomesha  Ukatili wa Kijinsia  (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo zimeandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mbio za Hisani za Kukomesha  Ukatili wa Kijinsia  (Top GBV Half Marathon ) 2023 zilizofanyika Mji Mkongwe Zanzibar, Novemba 26, 2023. Mbio hizo ziliandaliwa na Taasisi ya Asma Mwinyi ya Zanzibar.  Wliokaa kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar, Riziki Pembe, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Asma Mwinyi FGoundation, Asma Mwinyi na Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About The Author

(Visited 64 times, 1 visits today)

Last modified: November 27, 2023

Close