Visit Sponsor

Written by 4:01 pm KITAIFA Views: 32

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KWANZA MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 leo Januari 15, 2024 ameongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.

About The Author

(Visited 32 times, 1 visits today)

Last modified: January 15, 2024

Close