Visit Sponsor

Written by 1:31 pm KITAIFA Views: 81

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBUNGE TECLA UNGELE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Lindi, Tecla Ungele anayepata matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma, Novemba 21, 2023. Katikati ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest na kulia ni Afisa Muuguzi wa Hospitali hiyo Stanles Mahundo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

About The Author

(Visited 81 times, 1 visits today)

Last modified: November 21, 2023

Close