Visit Sponsor

Written by 5:01 pm KITAIFA Views: 29

WAZIRI MKUU AKAGUA GATI MPYA BANDARI YA MTWARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tano
Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki nne hadi kufikia zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka.
Ujenzi gati hiyo umegharimu shilingi bilioni 157.8

About The Author

(Visited 29 times, 1 visits today)

Last modified: July 7, 2023

Close