Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Novemba 25, 2024 ametembelea Kituo cha Mafunzo ya Misitu na Viwanda vya Misitu Mafinga (FWITC- Mafinga) kilichopo Mkoani Iringa na kupokelewa na Mkuu wa Kituo hicho, Berthan Paul Odelo.
Mhe. Chana alikagua karakana ya uzalishaji samani, eneo la mtambo wa kukaushia mbao na kitalu cha miche.
Chuo cha FWITC kinatoa Mafunzo ya Ufundi Stadi katika ngazi ya Astashada NTA Level I-III katika fani za Misitu , Viwanda vya Misitu na Useremala.
About The Author
Last modified: November 25, 2024