Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) leo Oktoba 16,2024 amewasili katika Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha kwa ajili ya kikao kazi na Menejimenti ya Mamlaka hiyo.
Mhe. Chana amepokelewa na Kamishna Uhifadhi wa NCAA, Elirehema Doriye, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Utalii Nkoba Mabula na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Dkt. Thereza Mugobi.
About The Author
Last modified: October 16, 2024