Visit Sponsor

Written by 8:40 am KITAIFA Views: 13

WASHIRIKI WA KONGAMANO LA JOTOARDHI AFRIKA WATEMBELEA VYANZO VYA JOTOARDHI MBEYA

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI

Picha mbalimbali zikionesha Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) wakitembelea  vyanzo vya nishati ya Jotoardhi nchini.

Washiriki hao kutoka ndani na nje ya nchi wametembelea maeneo ya Ngozi na Kiejo-Mbaka mkoani Mbeya ikiwa ni sehemu ya programu za Kongamano la Siku Saba la ARGeo-C10  ambalo pia lililenga kutangaza hazina ya Jotoardhi iliyopo Tanzania ili kuvutia uwekezaji.

About The Author

(Visited 13 times, 1 visits today)

Last modified: October 27, 2024

Close