Visit Sponsor

Written by 11:03 am MICHEZO Views: 59

WACHEZAJI YANGA WAFANYIWA VIPIMO VYA MOYO KABLA YA KUANZA MSIMU MPYA WA LIGI

Daktari bingwa wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Henry Mayala akimpima jinsi moyo unavyofanya kazi mchezaji wa timu ya mpira
wa miguu ya Yanga wakati wachezaji wa timu hiyo walivyofika JKCI jana kwa ajili
ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ikiwa ni maandalizi ya kuanza kwa
msimu mpya wa ligi na mashindano ya kimataifa ya vilabu

????????????????????????????????????
????????????????????????????????????

Afisa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Janeth Haule akimpima urefu, uzito, na uwiano wa urefu na uzito (BMI) mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga African Sport Club Clement Mzize wakati wachezaji wa timu hiyo walivyofika JKCI jana kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ikiwa ni maandalizi ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi na mashindano ya kimataifa ya vilabu

About The Author

(Visited 59 times, 1 visits today)

Last modified: July 13, 2023

Close