Visit Sponsor

Written by 11:17 pm KITAIFA Views: 1

VIJANA ZAIDI YA  200 KUTOKEA VYAMA TOFAUTI VYA UPINZANI WAMFUATA DOKTA SAMIA



APRIL ,19.2025  katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, wakati wa kongamano la uzinduzi wa kampeni ya Samia First Time Voters,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM ,amepokea wanachama zaidi ya 200 waliotoka katika vyama vya upinzani wakiwemo wa CHADEMA na ACT, na kujiunga rasmi na CCM

Aidha,Katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
Jokate Mwegelo, amesema kuwa kadi za wanachama wa vyama vya upinzani waliopokelewa  hazitachomwa wala kutupwa, bali zitatunzwa kwa heshima ili kukabidhiwa kwa viongozi wa vyama hivyo,wakiwemo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, na Katibu Mku wa CHADEMA, John Mnyika

About The Author

(Visited 1 times, 1 visits today)

Last modified: April 20, 2025

Close