Wazi wa Mifugo na Uvuvi nchini, Abdallah Hamis Ulega asema, BBT ya wizara yake tayari imeanza ambapo vijana wenyewe wanakwenda minadani kununua ng’ombe na kuwanenepesha na tayari wameshauza ng’ombe 900 mpaka sasa, wameshapata faida ya mil. 74/-
About The Author
Last modified: September 3, 2023