Visit Sponsor

Written by 7:51 am KITAIFA Views: 4

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAITIKA

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI y

-DAR ES SALAAM

NI siku ya uchaguzi . Ndivyo unaweza kusema, hasa baada ya vyama vya siasa nchini kupepetana kwa siku saba kwenye majukwaa ya kisiasa kusaka ushawishi kwa wananchi.

Kutokana na hali hiyo sasa Watanzania jana wamejitokeza kupiga kura ili kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji huku CCM ikitabiriwa kuibuka na ushindi kwenye uchaguzi huo.

Kutokana na hali hiyo timu wa wabunge na madiwani wote wa CCM  na Viongozi wakubwa wa Kitaifa wakiongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wameungana na Watanzania kupiga kura.

About The Author

(Visited 4 times, 1 visits today)

Last modified: December 3, 2024

Close