Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Rais waJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesemaWatanzaniatunawajibuwakuendeleakustahimiliana na kufanyasiasa za kistaarabuzinazowekambelemaslahiyanchi.
Rais Samia amesemahayowakatiwaibadayamazishiyaaliyekuwaWaziriMkuuMstaafu, Hayati Edward NgoyaiLowassayaliyofanyikakatikakijiji cha NgarashiwilayaniMonduli.
Aidha, Rais Samia amesemanjiapekeeyakumuenziHayatiLowassani kuendeshasiasakwa kuheshimiana, kustahamilianailikuletamaendeleo bila kutikisamisingiyautaifa na mshikamano wetu licha yakutofautianamitazamo, misimamo na sera.
Vilevile, Rais Samia amesemaHayatiLowassaalikuwamuuminiwaelimu kama nyenzoyakujikomboa na umasikini,hivyoalipendavijanawapatemaarifa na ujuzi kwa ajiliya ustawi wa familia zao na jamii kwa ujumla.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Rais Samia piaamesemakatika sekta yaelimu, HayatiLowassaalisimamia kwa mafanikioMpangowaMaendeleoyaElimuyaSekondari (MMES) akiwaWaziriMkuukwa kuratibu na kusimamiaujenziwashule za Sekondarikatika kila Kata nchini.
Hali kadhalika, Rais Samia amesema tangu wakatihuoserikaliimeendeleakusimamiaujenzi na uendelezajiwashule za Kata kotenchini, na hivyokuongezashule za Serikalikutoka 828 mwaka 2004 hadishule 4,578mwaka 2023.
Kwa kutambuaumuhimuwaelimuyenyekukidhimahitajiyasoko la ajiramwaka2023serikaliimefanyamabadilikoya Serana MitaalayaElimuilikuhakikishaelimuinayotolewainakidhimahitajiyakiuchumi, kijamii, kisayansi na kiteknolojia.
Kwa upandemwingine, Rais Samia amesemaTaifalimepoteza moja yaviongozimahiri, mpendamaendeleo, mwanamageuzi na kipenzi cha wengi.
About The Author
Last modified: February 17, 2024