Visit Sponsor

Written by 2:19 pm KITAIFA Views: 17

TAASISI ZISIZOKUWA ZA SERIKALI ZAAHIDI KUENDELEZA JUHUDI ANAZOZIFANYA RAIS SAMIA KWA KUWAPATIA BAISKELI WATOTO WENYE UHITAJI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MWANAHABARI

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya AMO Foundation Kwa kushirikiana na Shirika la PDT Foundation imeweza kuwachangia watoto wanaoishi Katika mazingira magumu wanaotembea umbali mrefu Ili kufika shuleni Kwa kuwachangia baiskeli 30

Ameyasema hayo Leo 23,Machi 2025 Mkurugenzi wa AMO Foundation Amina Said Amesema kuwa tumewachangia baiskeli 30 lakini lengo lilikuwa ni baiskeli 150 Amesema atahakikisha hizo baiskeli 150 zinapatikana zote na watahakikisha wanafunzi wanaotembea umbali mrefu waweze kuhudhuria masomo ipasavyo

Said Amesema Taasisi hiyo siyo ya kiserikali ila inasapoti kazi za serikali Kwa sababu serikali inawasapoti Taasisi hizo zisizo za kiserikali”serikali haiwezi kuwafikia watu wote mpka chini kabisa ndomana sisi tupo Kwa ajili ya kuiwakilisha serikali pia”Amesema Said

Amesema AMO Foundation inamsaidia mama inamsaidia vijana na watu wenye uhitaji maalumu na inatoa huduma Kwa jamii Kwa kufanikisha Kwa kuungana na watu Wetu wa karibu tutafanikisha kuzipata hizo baiskeli Zaidi ya 150

Aidha Said Amesema yeye na wakurugenzi wazie watahakikisha wanaigusa jamii Kwa kuangalia Vijijini na si Mjini kwani Kuna watu wanapitia wakati mgumu na Leo hii tumeongea na mwalimu kuu wa shule iliyoko muleba Amesema Kwa wiki mtoto anaenda mara 3 au mara 2 kutokana na umbali anapotoka mpaka kufika shuleni anatumia kilomita 40 Mpaka Kilomita 20 inafika Muda mtoto anataka asubuhi kujiandaa mpaka afike shuleni anakuwa anaishia njiani na Muda umeisha pia wanakutana na mitihani migumu wakiwa wanaelekea shule” kama Sasa hivi dunia ilivyobadilika unakutana na mtu anakunyanyasa kijinsia watoto wakike wanabakwa tunawaomba taasisi zingine tuguswe Kwa hili Kwa watoto Wetu walioko nje ya mji tuweze kuwasapoti Kwa kufika shuleni Kwa wakati” Ameongeza Said

Nae Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikali PDT Foundation Joise Charles Amesema tunajitahidi kuwafikia mashirika mengi Kwa kuwajulisha popozo yetu tuliyokuwa nayo Kwa ajili ya watoto wa shule ya sekondari kiteme lakini hatukuishia hapo tunaprojet nyingine ambayo itakuwa Kwa ajili ya wajasiriamali Kwa kupata ujuzi kupata vifaa

“Tumejipanga Kwa mwaka tunaprojet nne itqkayofata Sasa hivi itakuwa ni mwezi wa sita ni Kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali Kwa kupata ujuzi na vifaa mtoto aliemaliza fomu 4 anataka kujifunza kushona tutamuita mjasiriamali anaejua.cherehani aje Kwa ajili ya kumfundisha na tutamuezesha kupata cherehani Ili tuweze kuigusa jamii nzima”Amesema Charles

Halikadhalika nae Mkurugenzi wa Eza power concerasat Aden Mali Amesema ameguswa sana na project ambayo amekuja nayo PDT kuwasaidia watoto wenye uwitaji Katika vijiji ambavyo usafiri ni changamoto na tumeguswa na kusema sisi tutaenda na kusukuma Ili project iwafikie walengwa na watoto waweze kupata msaada

“Kwa asilimia kubwa tunawaomba watanzania wengine tunaomba kuwasaidia Hawa watoto waweze kupata usafiri kwani wanapata tabu sana”Amesema Mali

About The Author

(Visited 17 times, 1 visits today)

Last modified: March 23, 2025

Close