Visit Sponsor

Written by 12:01 pm KITAIFA โ€ข Views: 11

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 4 Septemba, 2023.

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia amemhakikishia Mhe.Biteko kuwa Bunge litampa ushirikiano wa kutosha ili kutimiza naย ย kufanikisha shughuli za Serikali.

About The Author

(Visited 11 times, 1 visits today)

Last modified: September 4, 2023

Close