Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji hilo Prof. Davis Mwamfupe pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndg. John Kayombo leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Dodoma.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na kuteta jambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis Mwamfupe wakati alipomtembelea leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
About The Author
Last modified: August 21, 2023