Visit Sponsor

Written by 4:17 pm BURUDANI Views: 5

SAMIA FASHION IMERUDI ZANZIBAR

Samia Fashion Imerudi Zanzibar

Zanzibar.. narudia tena, Zanzibar! Wakali wa mitindo na stara mmefikiwa!

Khadija Mwanamboka kaileta Samia Fashion Festival nyumbani kabisaaa huku ndo stara ilipozaliwa na inapoishi.

Jumamos hii tukutane Golden Tulip, mapema sanaaa.. Yaani njoo wewe mwanamitindo mapema kwenye usahili saa 8 mpaka saa 10  na jioni sasa ndo ile fashion show ya wale wabunifu… Raha Juu ya Raha!

Tusisahau ni Tarehe: 30-11-2024
@samiafashionfestival

#TalantaTanzania #UbunifuMitindoTanzania #UbunifuNaStara #KhadijaMwanamboka

About The Author

(Visited 5 times, 1 visits today)

Last modified: November 28, 2024

Close