Visit Sponsor

Written by 1:25 pm KITAIFA Views: 40

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WENYEVITI WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake  Ujumbe wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar Agosti 30-8-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake  Ujumbe wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar Agosti 30-8-2023.

WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza, wakati wa mazungumzo yake na Ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia.mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar Agosti 30-8-2023.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)wa Mikoa ya Zanzibar na Tanzania Bara, baada ya kumaliza mazungumzo yao, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar Agosti 30-8-2023 kwa mazungumzo na kumsalimia.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiagana na Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa wa Zanzibar na Tanzania Bara,baada ya kumaliza mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia Agosti 30-8-2023.

About The Author

(Visited 40 times, 1 visits today)

Last modified: August 30, 2023

Close