Visit Sponsor

Written by 12:01 pm KITAIFA Views: 79

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA ANGLIKAN TANZANIA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 30-8-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofi Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, kwa mazungumzo na kujitambulisha. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofu Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.

About The Author

(Visited 79 times, 1 visits today)

Last modified: August 30, 2023

Close