Visit Sponsor

Written by 12:59 pm KITAIFA Views: 148

RAIS SAMIA AZURU KABURI LA HAYATI MAHATMA GANDHI NEW DELHI INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizuru kaburi la
Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni katika moja ya Ofisi zilizopo kwenye Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akirusha maua kwenye kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 148 times, 1 visits today)

Last modified: October 9, 2023

Close