Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa M & P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas
Engel (kushoto) wakisaini Mkataba wa Mauziano ya Hisa katika Kitalu cha uzalishaji wa Gesi Asilia cha Mnazibay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) pamoja na Kampuni ya M&P Exploration Production Tanzania Limited kwenye hafla
iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa Maurel &P Exploration Production Tanzania Limited
Nicolas Engel (kushoto) wakionesha Hati ya Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za
Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mussa Makame (kulia) pamoja na Meneja Mkazi wa Maurel &P Exploration Production Tanzania Limited
Nicolas Engel (kushoto) wakisaini Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kushuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.
About The Author
Last modified: February 3, 2024