Visit Sponsor

Written by 1:10 pm KITAIFA Views: 32

RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI MKUTANO WA KIMATAIFA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA QATAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amiri wa Taifa la Qatar Mhe. Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than wa pili kutoka kushoto kwake pamoja na viongozi wengine wa Mataifa mbalimbali wakati wakimwagilia miti maji kuashiria ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha tarehe 02 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 32 times, 1 visits today)

Last modified: October 4, 2023

Close