Visit Sponsor

Written by 10:42 am KITAIFA Views: 24

RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA MAALUM KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA

Rais Samia Suluhu Hassan ahudhuria Misa Maalum ya Kumbukizi ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mkoani Manyara leo Oktoba 14, 2023

About The Author

(Visited 24 times, 1 visits today)

Last modified: October 14, 2023

Close