Visit Sponsor

Written by 4:07 pm KITAIFA Views: 29

RAIS SAMIA AKIWA NA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ZANZIBAR DKT MWINYI KATIKA MAANDALIZIYA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI KATIKA SERIKALI YA SADC

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kwenye Kikao maalum cha maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jana, 2024 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

About The Author

(Visited 29 times, 1 visits today)

Last modified: November 13, 2024

Close