Visit Sponsor

Written by 2:18 pm KITAIFA Views: 22

RAIS SAMIA AFUNGA RASMI MAONESHO YA SABA YA. MADINI GEITA

Na Madina Mohammed MWANAHABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan Katika matukio tofautitofauti alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye Soko la Madini Geita ikiwa ni sehemu ya kufunga Maonyesho ya Saba ya teknolojia na uwekezaji katika Sekta ya Madini leo October 13,2024.

About The Author

(Visited 22 times, 1 visits today)

Last modified: October 13, 2024

Close