Visit Sponsor

Written by 4:13 am KIMATAIFA Views: 35

RAIS MSTAAFU, KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA JUKWAA LA 7 LA UONGOZI AFRIKA ACCRA GHANA

Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25  hadi kesho 26 Mei 2023, jijini  Accra, Ghana.

Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25  hadi kesho 26 Mei 2023, jijini  Accra, Ghana.

Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana (kushoto kwake) na  Mhe. Wamkele Mene, Katibu Mkuu wa  African Continental Free Trade Area (AfCFTA – wa nne toka kulia); katika picha ya pamoja na viongozi wengine Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25  hadi kesho 26 Mei 2023, jijini  Accra, Ghana.

About The Author

(Visited 35 times, 1 visits today)

Last modified: May 30, 2023

Close