Visit Sponsor

Written by 2:22 pm Uncategorized Views: 42

RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA TAARIFA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akipokea kitabu cha Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa
Mazingira (2022-2032) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.
Mary Maganga, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023. Mpango
Kabambe huo umeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.
Mary Maganga mara baada ya kuwasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na
Ofisi hiyo, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

About The Author

(Visited 42 times, 1 visits today)

Last modified: August 18, 2023

Close