Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI
Mtumishi wa Mungu wa kanisa la Madhabahu ya hatma Nabii Clear Malisa amefungua mwaka 2025 kwa kuzindua chaneli ya television aliyoipa jina Clear Tv kwaajili ya kurusha ibada za kanisa hilo mubashara
Wakati wa uzinduzi wa Clear Tv na kuwa itapatikana kupitia kisumbuzi cha Azam chaneli namba 20, ambayo pia amesema haitaoneshwa Tanzania tu bali nchi nyingine za jirani ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda.
Malisa amewataka Watanzania kuiunga mkono channel hiyo kwani itakuwa ni chaneli ya kufungua wenye vifungo mbalimbali vya kiroho
About The Author
Last modified: January 1, 2025