Visit Sponsor

Written by 10:41 am KITAIFA Views: 10

NABII CLEAR MALISA ATABIRI MAMBO MAKUBWA MWAKA 2025

Na MADINA Mohammed Mwanahabari



Nabii Clear Malisa wa Kanisa la Madhabahu ya Hatma ametabiri kwamba mwaka 2025 dunia itarudi katika kipindi cha miaka 1950 iliyopita, ambapo mifumo ya mawasiliano na intaneti itakatika na mifumo ya kibenki itasimama. Ametoa wito kwa serikali kuchukua hatua mapema na jamii kujiandaa kifikra, ikiwemo kuweka mikakati ya kukabiliana na uhalifu unaoweza kutokea.

Aidha, Nabii Malisa amebashiri kuwa uchumi wa Tanzania utaimarika mwaka 2025, na shilingi ya Tanzania itapanda na kuwa juu, ikipiku Dola ya Kimarekani. Vilevile, ametabiri kuwa magonjwa ya Kansa na HIV yatapata tiba duniani kote, huku jamii ikishauriwa kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa mabadiliko haya makubwa.

About The Author

(Visited 10 times, 1 visits today)

Last modified: December 31, 2024

Close