Visit Sponsor

Written by 2:03 pm KITAIFA Views: 188

MWENYEKITI CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA NEC, UNGUJA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM), Ndugu Samia Suluhu Hassan,ambaye pia ni Rais wa Jamhuria ya Muungano wa Tanzania,akifungua Semina ya Mafunzo kwa ajili ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo Januari 13, 2024 Unguja , Zanzibar. (Picha na CCM Makao Makuu)

Mafunzo Hayo Yanafanyika  Kwa Siku Mbili ikiwa na Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi. 

About The Author

(Visited 188 times, 1 visits today)

Last modified: January 13, 2024

Close