Visit Sponsor

Written by 10:27 am KITAIFA Views: 5

MUSIMALIZE MWAKA KWA MAMBO MABAYA,JITOKEZENI KWENYE MKESHA KUMUOMBEA MUNGU

Na Madina Mohammed Mwanahabari

Profert Clear Malisa Amesema Leo ni siku ya maombezi waumini wote wanaombwa kujitokeza Katika ya Mwisho wa 2024 kufanya Ibada ya Mwisho wa Mwaka ambayo itakayofanyika Katika kanisa lake lililopo Riverside Ubungo Muda wa saa 12 kamili jioni

Amesema musitamani vitu ambayo vilivyotokea mwaka 2024 ambavyo sio vizuri vije kutokea kwako kwani mungu hapendi

Ameongeza kuwa mwaka mzima huyaenda kwenye Ibada Kwa siku ya Leo na usimalize mwaka Kwa matukio ambayo hayampi mungu utukufu yamkini mwaka usiaze Kwa mambo mbaya

Amewataka waumini wote.wajitokeze Katika mkesha huo Leo Kwa ajili ya maombezi ya neema ya mungu

About The Author

(Visited 5 times, 1 visits today)

Last modified: December 31, 2024

Close