Visit Sponsor

Written by 12:43 pm KITAIFA Views: 8

MHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN BI. HODAN ADDOU

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Usawa wa Jinsia (UN Women), Bi. Hodan Addou, Ofisi za Hazina Ndogo Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadili masuala ya ushirikiano kati ya Shirika hilo na Tanzania, ikiwemo maandalizi ya Mkutano wa Kizazi cha Usawa (Generation Equality) utakaowashirikisha Mawaziri wa Fedha na Maendeleo ya Jamii wa Kanda wa Afrika, unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam hivi karibuni, ukiwa na lengo la kujadili namna nchi hizo zilivyojipanga kukabiliana na nakisi za kibajeti katika kusaidia maendeleo ya wanawake na wasichana.

About The Author

(Visited 8 times, 1 visits today)

Last modified: September 4, 2023

Close