Visit Sponsor

Written by 12:54 pm KITAIFA Views: 109

MAKONDA KATIBU WA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA, ITIKADI NA UENEZI, SOPHIA MJEMA AWA MSHAURI WA RAIS

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.

About The Author

(Visited 109 times, 1 visits today)

Last modified: October 22, 2023

Close