Visit Sponsor

Written by 11:02 am KITAIFA Views: 5

MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Gran Melia jijini Arusha.

Maadhimisho hayo yanalenga kubadilishana mawazo na kufanya majadiliano kuhusu fursa na changamoto katika sekta ya habari.

About The Author

(Visited 5 times, 5 visits today)

Last modified: April 29, 2025

Close