Visit Sponsor

Written by 1:56 pm KITAIFA Views: 51

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SOMALIA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan leo Jumanne, Novemba 21, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

About The Author

(Visited 51 times, 1 visits today)

Last modified: November 21, 2023

Close