Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MWANAHABARI
JAH INTERNATIONAL GROUP ni Kampuni ya kuuza magari hapa nchini Tanzania Ambapo wateja wake ni wateja mbalimbali wanaonunua magari Katika Kampuni Yao
JAH Group imewaona wateja wake Kwa kuwapa zawadi Kwa kuwashukuru kununua magari Katika Kampuni Yao na wameazisha mchezo wa bahati nasibu Kwa kuchagua kikaratasi na kupigiwa simu mara 3 ukipokea wewe ndo mshindi na kama hujapokea ushindi unaenda Kwa mwingine

Mkurugenzi mkuu Ally Akbar Amesema kuanza jambo sio jambo baya Kwa sababu ni zuri na tunaendelea na utamu ya jambo linaloendelea na baada ya miezi mitatu Kampuni yetu inaingia tena Katika kutoa zawadi Kwa wateja wake

Amesema Leo ni siku pekee Kwa wateja Wetu Kwa kushinda Katika droo yetu maalumu ikiwa na zawadi Kwa washindi sita watakaobahatika kuwa washindi wa Leo hii ni kuonesha kuwa tunatambua michango yenu kwetu kama Kampuni tunapenda kurudisha kitu tulichokuwa nacho zawadi hizo Kwa siku ya Leo ni simu iphone, laptop, friji na Tv, Boda boda, pesa tasrimu shilling za kitanzania million10 na Gari Harria model ya 2022

Mshindi wa kwanza ni amejishindia gari, Mshindi wa Pili ni Haroub Seif Amejishindia Pesa Shilling million 10, Mshindi wa Tatu ni Sitambul zuberi Amejishindia Tv na Friji na mshindi wa Nne ni William frolian Amejishindia Boda boda na mshindi wa Tano ni Haroub Seif Amejishindia na Simu iphone pro max Mshindi wa Sita ni Lomanus Lwema Amejishindia Laptop
About The Author
Last modified: April 6, 2025