Visit Sponsor

Written by 6:11 pm KITAIFA Views: 4

DKT BITEKO AKISILIZA MICHANGO MBALIMBALI YA WABUNGE BUNGENI

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anasikiliza michango ya Wabunge mbalimbali mara baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati katika mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha kumi na tatu April 28, 2025 Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa Mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha kumi na tatu Aprili 28, 2025 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anasikiliza michango ya Wabunge mbalimbali mara baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati katika mkutano wa kumi na tisa wa Bunge, Kikao cha kumi na tatu Aprili 28, 2025 Jijini Dodoma.

G

About The Author

(Visited 4 times, 4 visits today)

Last modified: April 28, 2025

Close