Visit Sponsor

Written by 8:36 pm KITAIFA Views: 7

CCM: SERIKALI NA WANANCHI SHIRIKIANENI KUKOMESHA UDUMAVU IRINGA

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema ameagiza serikali kushirikiana na wananchi katika kukomesha udumavu mkoani Iringa.

“Dhamira ya CCM kama ilivyolezwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ibara ya 86 ni kuhakikisha watoto wanapata lishe bora na kutokomeza udumavu ili tuwe kuwa na vizazi vyenye nguvu Kazi ya kutumikia Taifa letu la Tanzania,” alisema.

About The Author

(Visited 7 times, 1 visits today)

Last modified: May 30, 2023

Close