Visit Sponsor

Written by 7:22 pm MICHEZO Views: 46

BODI YA UTALII, SPORT LINK KUTANGAZA UTALII KUPITIA MICHEZO

Leo tarehe 11 Januari 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Sports Link Academy ya Jijini Dar Es Salaam. Katika kikao hicho wamejadili fursa mbalimbali za kutangaza utalii wa Tanzania kupitia Mchezo wa Mpira wa Miguu.

Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na kuona namna ya kushirikiana na Timu ya Mpira wa Miguu ya Wolverhampton ya Nchini Uingereza ambao ni washirika wa Sports Link Academy ili kutangaza vivutio vya utalii wa Tanzania.

About The Author

(Visited 46 times, 1 visits today)

Last modified: January 11, 2024

Close