Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ujenzi. Kabla ya uteuzi huo Bashungwa alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
About The Author
Last modified: August 30, 2023