Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Lazarus Chakwera, Julai 4, 2023 Ikulu, Jijini Lilongwe Malawi.
Balozi Kayola aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi akichukua nafasi ya Humphrey Polepole aliyehamishiwa Cuba
About The Author
Last modified: July 5, 2023