APRIL ,19.2025 katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, wakati wa kongamano la uzinduzi wa kampeni ya Samia First Time Voters,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM ,amepokea wanachama zaidi ya 200 waliotoka katika vyama vya upinzani wakiwemo wa CHADEMA na ACT, na kujiunga rasmi na CCM
Aidha,Katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi
Jokate Mwegelo, amesema kuwa kadi za wanachama wa vyama vya upinzani waliopokelewa hazitachomwa wala kutupwa, bali zitatunzwa kwa heshima ili kukabidhiwa kwa viongozi wa vyama hivyo,wakiwemo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, na Katibu Mku wa CHADEMA, John Mnyika







About The Author
Last modified: April 20, 2025