Visit Sponsor

Written by 12:54 pm KITAIFA Views: 116

IGP WAMBURA ASHIRIKI MAZISHI YA KAMISHNA WA POLISI MSTAAFU DCP ELIAH MAGWE KEHENGU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, jana 12 Januari 2024  ameshiriki pamoja na waombolezaji wengine kwenye mazishi ya aliyekuwa Naibu Kamishna wa Polisi Mstaafu DCP Eliah Magwe Kehengu ambaye alifariki Dunia tarehe 06 Januari 2024 katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu na mazishi yake yamefanyika tarehe 12 Januari 2024 Mugumu, Serengeti Mkoani Mara.

About The Author

(Visited 116 times, 1 visits today)

Last modified: January 13, 2024

Close