Visit Sponsor

Written by 6:52 pm KITAIFA Views: 58

MAJALIWA NI KITABU CHENYE KURASA ZA KUJIFUNZA UONGOZI

Habebwi na jina la Ukoo wala nuonekano wake akiwa ndani ya Suti inavyompendeza, bali ni uwajibikaji na kuweka maslahi ya Nchi mbele katika kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Huyu anajua atumie sauti ipi kukanya na ukimya upi kwaajili ya hekima, hakika ni aina ya watu wenye maono ya kesho waliopata bahati ya kuishi leo.

Tanzania inajivunia kuwa na wewe, Hakika na Kiongozi, Mwalimu na Shule yenye sauti katika uwajibikaji.

Huyu ni Kassim Majaliwa Majaliwa, Naaam ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Heri ya Siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwako.

HappyBirthdayMAJALIWA

About The Author

(Visited 58 times, 1 visits today)

Last modified: December 22, 2023

Close