Kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametajwa kuwa mgeni rasmi kunako mechi ya leo dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco, itakayopigwa ndani ya Uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia saa 10:00 jioni.
Akiuzungumzia mchezo huo wa jana, kocha huyo alisema kuwa mechi hiyo ni muhimu kwao kupata ushindi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele hatua inayofuata.

“Tunatakiwa kuwa na nguvu ya pamoja na umakini mkubwa, wachezaji wangu wanauwezo wa kulitimiza hili na wanajiamini kwa ajili ya kushinda mchezo dhidi ya Wydad Casablanca”, alisema Benchikha.
About The Author
Last modified: December 19, 2023