Visit Sponsor

Written by 1:50 pm KITAIFA Views: 20

ZIARA YA MHE. WAZIRI MKUU RUANGWA LINDI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mkaranga, akiwa kwenye ziara  ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nanjaru, akia kwenye ziara  ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mkaranga, akia kwenye ziara  ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 14, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About The Author

(Visited 20 times, 1 visits today)

Last modified: November 14, 2023

Close