Visit Sponsor

Written by 9:27 am KITAIFA Views: 43

RAIS SAMIA AHUDHURIA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA ZAMBIA, HAKAINDE HICHILEMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na viongozi wengine wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama kwa Heshima ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania
uliokuwa ukiimbwa wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 43 times, 1 visits today)

Last modified: October 24, 2023

Close