Visit Sponsor

Written by 3:13 pm KITAIFA Views: 54

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MKUU JUKWAA LA MAJAJI WAKUU NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute wakati wa Mkutano
huo uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Mwaka wa Majaji hao katika hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF)wakiwa kwenye Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu Wastaafu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 54 times, 1 visits today)

Last modified: October 23, 2023

Close