Visit Sponsor

Written by 2:40 pm KITAIFA, Uncategorized Views: 125

RAIS SAMIA AZINDUA MITAMBO YA UCHORONGAJI KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kuhusu Mitambo ya Uchorongaji kwa ajili ya Wachimbaji wadogopamoja na Mitambo ya Shirika la Madini la Taifa(STAMICO) kwenye hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 21 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Mitambo ya Uchorongaji kwa ajili ya Wachimbaji wadogo na Mitambo ya Shirika la Madini la Taifa(STAMICO) kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 21 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa Ufunguo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse kwa ajili ya kuwakabidhi Wachimbaji wadogo Mitambo ya kupasua na kusagiamawecrasherkwenye hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 21 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 125 times, 1 visits today)

Last modified: October 21, 2023

Close