Visit Sponsor

Written by 2:30 pm KITAIFA Views: 42

RAIS SAMIA AAGANA NA VIONGOZI, WANANCHI TABORA BAADA YA ZIARA YAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoni humo tarehe 19 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 42 times, 1 visits today)

Last modified: October 19, 2023

Close